Edge Rewrite
// request.cf · coarse context

A page that knows where it met you.

Only coarse request metadata is shown. This demo does not display or persist visitor IP addresses.

Country
US
Cloudflare location
CMH
Connection
HTTP/2
Language
Not provided

Ray ID: a257a7a15ff8d806

Jump to content

Talk:Joe Chialo

Page contents not supported in other languages.
Add topic
From Wikipedia, the free encyclopedia
Latest comment: 8 months ago by ~2025-34222-65

Mimi naitwa jackson juma abilah kutoka Tanzania lindi nachingwea Kijiji mapochelo,

pia tunaishukuru wanafamilia ya Barozi Chialo Kwa kutusaidia kuliboresha kanisa katoliki hapa kigangoni petu.

Bila kusahau tunakupongeza Wana kigango wa ujumla Kwa kuchaguliwa kuwa waziri wa utamaduni

Mungu akuzidishie mema zaidi katika majukumu yako ya kikazi.

Bikira maria awalinde na awaongoze wanafamilia wote wa Barozi Chialo.

Pia tunaishukuru Kwa kutujengea GOROTO Kwa ajili ya kusali ROZALI.
Mwisho tunaomba mtusaidie kinanda Kwa ajili ya kuendelea kuinjilisha Kwa nyimbo apa kigangoni.
    Asante.

Jackson mpiga kinanda hapa kigango Cha MT. YOSEF MFANYAKAZI KIBAONI

  Kristo.....Tumaini letu   Preceding unsigned comment added by ~2025-34222-65 (talk) 12:35, 17 November 2025 (UTC)Reply